facebookgoogle plustwitteryoutubefacebookgoogle plustwitteryoutube
Vyombo vya utangazaji leo kwa sampuli zake vituo vyake tofauti tofauti vina athari kubwa katika kusinyanga fikra za mtoto, familia na jamii yote na kuongoza tabia. Hivyo ni kwa vipindi vya utangazaji vinavyovitangaza vyenye kuvutia sana. Basi yafaa kuvitumia matumizi mazuri na kuvifanya ni mimbari ya ulinganizi wa Uislamu na kueneza tabia sahihi za Kiislamu.

Vyombo vya utangazaji leo kwa sampuli zake vituo vyake tofauti tofauti vina athari kubwa katika kusinyanga fikra za mtoto, familia na jamii yote na kuongoza tabia. Hivyo ni kwa vipindi vya utangazaji vinavyovitangaza vyenye kuvutia sana. Basi yafaa k ...

Utakaso ni kipengele muhimu ya Waislamu wote. Ina maana usafi nzima na usafi wa mwili, nguo, maeneo na nyanja zote za maisha . Kujifunza zaidi kuhusu Utwhara na Aina za Maji

Utakaso ni kipengele muhimu ya Waislamu wote. Ina maana usafi nzima na usafi wa mwili, nguo, maeneo na nyanja zote za maisha . Kujifunza zaidi kuhusu Utwhara na Aina za Maji

Umoja wa Mwenyezimngu ndio msingi mkubwa  ambao zimesimama juu yake mbingu na ardhi, na kwa ajili yake waliuimbwa binadamu na majini na wametumilizwa Mitume. Na kwa kadiri ya mtu anvyompwekesha Mwenyezi Mungu na kumtakasia, na anavyojiepusha na ushirikina wa nje na wa ndani ndivyo kadiri anavyokuwa katika amani na uongofu wa duniani na Akhera

Umoja wa Mwenyezimngu ndio msingi mkubwa ambao zimesimama juu yake mbingu na ardhi, na kwa ajili yake waliuimbwa binadamu na majini na wametumilizwa Mitume. Na kwa kadiri ya mtu anvyompwekesha Mwenyezi Mungu na kumtakasia, na anavyojiepusha na ushir ...

Idul- Ad’ha ni Idi ya kuchinja, ni Idi ya ukarimu, kuwahurumia Maskini, ni Idi ambao mamilioni ya Waislamu wanakusanyika kutekeleza matendo ya dini muhimu zaidi nayo ni Hija. Na katika Idi ya Ad’ha unaonekana ukarimu wa wa wakrimu, kwani kunafanyika hapo kuchinja ili kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu (SW) na kuwapa mafukara na maskini.

Idul- Ad’ha ni Idi ya kuchinja, ni Idi ya ukarimu, kuwahurumia Maskini, ni Idi ambao mamilioni ya Waislamu wanakusanyika kutekeleza matendo ya dini muhimu zaidi nayo ni Hija. Na katika Idi ya Ad’ha unaonekana ukarimu wa wa wakrimu, kwani kunafanyika ...

Katika vitu vikubwa alivovipasisha Mwenyezi Mungu katika mali ni Zaka ambazo ni nguzo ya tatu katika nguzo za Uislamu, na zinakwenda sambamba na Swala katika Qur'ani yenye hukumu zilizothibiti. Mwenyezi Mungu Amezifaradhia kwa hekima kuu. Hakuzifaradhia ili kuchukua kwenye mali ya waja, lakini ziwe ni zenye kusafisha mali yao kwa kuwakunjua mafukara wao, iwe ni sababu ya wao kupendana kwa kusaidiana  na kushikamana kijamii, wao kwa wao.

Katika vitu vikubwa alivovipasisha Mwenyezi Mungu katika mali ni Zaka ambazo ni nguzo ya tatu katika nguzo za Uislamu, na zinakwenda sambamba na Swala katika Qur'ani yenye hukumu zilizothibiti. Mwenyezi Mungu Amezifaradhia kwa hekima kuu. Hakuzifarad ...